Tafsiri ya Sura Al-Adiyat kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation
Verse 1
ﮱﯓ
ﯔ
Al-Adiyat
Naapa kwa farasi wendao mbio wakipumua,
Verse 2
ﯕﯖ
ﯗ
Na wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chini,
Verse 3
ﯘﯙ
ﯚ
Wakishambulia wakati wa asubuhi,
Verse 4
ﯛﯜﯝ
ﯞ
Huku wakitimua vumbi,
Verse 5
ﯟﯠﯡ
ﯢ
Na wakijitoma kati ya kundi,
Verse 6
ﭑﭒﭓﭔ
ﭕ
Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi!
Verse 7
ﭖﭗﭘﭙ
ﭚ
Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo!
Verse 8
ﭛﭜﭝﭞ
ﭟ
Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali!
Verse 9
Kwani hajui watakapo fufuliwa waliomo makaburini?
Verse 10
ﭩﭪﭫﭬ
ﭭ
Na yakakusanywa yaliomo vifuani?
Verse 11
ﭮﭯﭰﭱﭲ
ﭳ
Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote!
تقدم القراءة